Pages

Pages

Wednesday, May 22, 2013

Picha mbalimbali za malkia wa urembo wa Miss Utalii Tanzania, aliyepatikana jijini Tanga

Mshindi wa taji la Miss Utalii Tanzania 2012/13 Khadija Said miss utalii Morogoro  katikati akiwa katika picha ya pamoja na Lucy Noel miss utalii Dar es Salaam kushoto na mshindi wa tatu kulia Telethia Kilomo miss utalii vyuo vikuu.


Mshindi wa taji la miss utalii Tanzania 2012/13 Khadija Said Miss Utalii Morogoro  katikati akiwa katika picha ya pamoja na lucy noel miss utalii Dar es Salaam kushoto na mshindi wa tatu kulia Telethia Kilomo miss utalii vyuo Vikuu.

Kutoka kushoto ni Miss Utalii kutoka Mkoa wa Katavi Asha Ramadhani aliye shinda nafasi ya nne, Lucy Noel Miss Utalii Dar es Salaam aliyeshinda nafasi ya pili, Miss Utalii Morogoro Khadija Said ambaye ndiye miss utalii Tanzania 2012/13, Miss utalii vyuo vikuu Telethia Kilomo.

Kutoka kushoto ni Miss Utalii kutoka Mkoa wa Katavi Asha Ramadhani aliye shinda nafasi ya nne, Lucy Noel miss utalii Dar es Salaam aliyeshinda nafasi ya pili, Miss Utalii Morogoro Khadija Said ambaye ndiye miss utalii Tanzania 2012/13, mgeni rasmi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Luteni Kanali mstaafu Chiku Galawa, Mkuu wa wilaya ya Tanga Halima Dendego, Miss Utalii vyuo vikuu Telethia Kilomo na miss utalii Singida Mwakombo Kessy aliyeshinda nafasi ya tano.

Washidi wa tano bora wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Serikali Mkoa wa Tanga.

No comments:

Post a Comment