Pages

Pages

Monday, May 13, 2013

Lwakatare wa Chadema akosa dhamana

Hakimu anayesikiliza Kesi ya Wilfred Lwakatare (CHADEMA) katika mahakama ya Kisutu Mh. Katemana yupo likizo kwa wiki mbili na hivyo Mahakama imeshindwa kutoa dhamana kwa Lwakatare na kuipiga kalenda kesi hiyo mpaka Mei 27.

Hata hivyo, Mawakili wa Lwakatare wanafanya juu chini ili waweze kupata dhamana yake japo juhudi zinaonekana kugonga mwamba.

No comments:

Post a Comment