Pages

Pages

Monday, May 27, 2013

Lwakatale wa Chadema aendelea kushikiliwa, kusota rumande zaidi

 
MKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilyfred Lwakatale, ameendelea kusota rumande baada ya kutakiwa kufika tena mahakamani Juni 10 mwaka juu.

No comments:

Post a Comment