Pages

Pages

Monday, May 20, 2013

Hali ilivyokuwa mjini Iringa kabla ya Mchungaji Peter Msigwa kuachiwa kwa Dhamana leo

 Mbunge  Msigwa akishuka katika gari ya  polisi baada ya kufikishwa mahakamani mchana  huu
 Mbunge  Msigwa akishuka katika gari hilo la polisi tayari kwa kuelekea  chumba cha mahakama
 Mbunge Msigwa akiwa na gazeti mkononi baada ya  kufikishwa mahakamani  leo
 Watuhumiwa  wengine wa vurugu  za machinga  na polisi  wakishuka katika karandinga la polisi

 Wakili  wa Msigwa  kulia  akiteta  jambo nje ya mahakama
 Kada wa Chadema Frank Mwaisumbe akiingia na viongozi  wengine wa chadema mahakamani hapo huku  wafuasi  wao  wakizuiwa nje ya mahakama
 Wafuasi  wa Chadema  wakiwa  wamezuiliwa nje ya viwanja  vya mahakama kuu kanda  ya Iringa  wakati mbunge  alipofikishwa katika mahakamani   mchana  huu
Ulinzi mkali kweli kweli 

 
 
 ulinzi mkali  wakati  mbunge  Msigwa na  watuhumiwa  wengine  70  wakifikishwa mahakamani leo
 
 
 
 Wafuasi  wa  Chadema  na  wananchi  wakiwa  nje ya  geti la mahakama  leo

No comments:

Post a Comment