Pages
▼
Pages
▼
Thursday, April 04, 2013
Yanga inatisha. Shuhudia Uwanja wao utakavyokuwa baada ya kukamilika.
Huu ndio Uwanja Mpya wa Yanga utakaojengwa na Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group mapema mwaka huu. Mkataba wao utaingiwa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Francis Kifukwe kulia anapewa somo na wataalamu wa Kampuni hiyo.
Mdau Sofia Ashery kutoka Gazeti la Uhuru kulia akifuatilia kwa karibu mazungumzo ya ujenzi wa Uwanja wa Yanga.
Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrence Mwalusako wa tatu kutoka kushoto mstari wa kushoto akifuatilia kwa karibu mazungumzo na kampuni watakayoipa kazi ya ujenzi wa Uwanja wao.
Mambo ndivyo yalivyokuwa kwenye kuonyeshwa uwanja huo wa kisasa wa Yanga.
Uwanja mpya wa Yanga utakuwa hivi.
Picha ya pamoja kati ya viongozi wa Yanga na kampuni hiyo.
Hapa wanaangalia uwanja utakavyokuwa katika kikao hicho.
Hapa tumelamba dume. Duh? Simba watatukomaaaaaaaaa..
Kila la kheri Yanga katika safari hiyo ya kuhakikisha kuwa timu inakuwa na uwanja wake wa kisasa kabisa. Taarifa rasmi juu ya uwanja huo na kujadili kwa kina usikose kuipitia blog yako ya Handeni Kwetu kesho Aprili 5.
No comments:
Post a Comment