Pages

Pages

Sunday, April 14, 2013

Wajuwe Ngoma Africa Band Ujerumani wanavyoipaisha Tanzania majuu

Ibrahim Makunja aka Ras Makunja Ngoma Afrika Bandleader.
The Ngoma Afrika band Press kit and logo 004.
Front CD cover.
NHawa ndio wakali wa Ngoma Africa Band wenye maskani yao nchini Ujerumani wakitokea Tanzania na kuipaisha vyema Taifa lao kwa kupitia muziki.
 
Baadhi ya wakali wa Ngoma Africa Band ni pamoja na Christian Bakotessa aka Chris-B, Said Vuai, Matondo Benda, Jonathan Sousa, Aj Nbongo, Richard Makutima, Bedi Beraca "Bella" Jessy Ouyah na wengineo.

No comments:

Post a Comment