Pages

Pages

Wednesday, April 10, 2013

Tanzania yanadi utalii wa ndani maonyesho ya Utalii COTTM 2013 nchini China

Alistide Karaze (kulia) kutoka Bodi ya Utalii nchini akigawa kipeperushi kinachoelezea vivutio vya utalii nchini katika maonyesAlistide Karaze (kulia) kutoka Bodi ya Utalii nchini akigawa kipeperushi kinachoelezea vivutio vya utalii nchini katika maonyesho ya COTMM 2013 yanayofanyika jijini Baijing na kushirikisha mataifa mbalimbali katika masuala ya utaliiPICHA NA PASCAL SHELUTETE WA TANAPABango linaloonyesha yalipo mabanda ya nchi mbalimbali zinazoshiriki maonyesho ya COTMM 2013 jijini Beijing nchini China.
Bango linaloonyesha yalipo mabanda ya nchi mbalimbali zinazoshiriki maonyesho ya COTMM 2013 jijini Beijing nchini China

Mwenyekiti ya Bodi ya Utalii Balozi Charles Sanga (wa kwanza kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi wakitoa taarifa za vivutio vya utalii kwa mmoja wa wageni waliotembelea banda la Tanzania katika maonyesho hayo

No comments:

Post a Comment