Pages

Pages

Wednesday, April 10, 2013

Happy Birthday Mkurugenzi wa Habari na Matukio, Cathbert Angelo



Cathbert Angelo
LEO ni siku muhimu mno kwa kijana wangu Cathbert Angelo, Mkurugenzi wa Habari na Matukio Blog ambaye anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Handeni Kwetu inakutakia kila kheri katika kipindi cha maisha yako na kichwa chako kiwe na tija kwa Watanzania wote.

Sisi tunaamini uwepo wako duniani ni makusudi ya Muumba wetu, hivyo endelea kutetea kile unachokiamini, hata kama utakutana na vikwazo vya hapa na pale. Happy Birthday kaka na karibu sana Handeni Kwetu.


No comments:

Post a Comment