Pages

Pages

Wednesday, April 17, 2013

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue afanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini, Yahya Bin Moussa


Picha juu na chini, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe Yahya bin Moussa al Bakari ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo. Mazungumzo hayo yalihusu mambo mbalimbali ya ushirikiano baina ya nchi mbili hizi.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment