Pages

Pages

Friday, March 15, 2013

Zitto Kabwe aibuka kidedea Uchaguzi Hesabu za Serikali, PAC

Photo: Mhe Zitto Kabwe ameibuka kidedea kwenye uchaguzi wa kumtafuta mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.

Zitto awali alikuwa ni mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na kamati ya PAC.

Soma zaidi hapa --> http://j.mp/XNnkB8
Zitto Kabwe
Hhabari zilizoifikia meza ya Handeni mchana huu zinasema kuwa Mhe Zitto Kabwe, ambaye ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameibuka kidedea kwenye Uchaguzi wa kumtafuta Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) baada ya kumbwaga Mhe. Cheyo kwa kupata kura 13 kati ya 17.

Zitto awali alikuwa ni mwenyekiti wa POAC, kamati iliyovunjwa siku chache zilizopita na kuunganishwa na kamati ya PAC.

No comments:

Post a Comment