Pages

Pages

Tuesday, March 12, 2013

NAFASI YA KAZI

Msichana yoyote mwenye uwezo wa kujieleza vizuri lugha ya Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha zaidi, anaombwa kuchangamkia nafasi hii adhimu kutoka Ruaha Marathon.

JUKUMU: Eneo la kazi ni Mlimani City, kuandikisha washiriki wa ndani na nje ya nchi, watakaoshiriki mashindano ya Ruaha Marathon, yatakayofanyika Iringa baadaye mwaka huu. 

Kazi hii ni ya miezi miwili tu. Mshahara mzuri na masharti lazima uwe mchangamfu na unayejitambua pamoja na kuwa na (Customer Care) kwa wale unaozungumza nao.

Wasiliana Markus Mpangala 0764 936655- Mwanazuoni27@gmail.com
Au Kambi Mbwana 0712 053949- kambimbwana@yahoo.com

No comments:

Post a Comment