MAMA SALMA KIKWETE AMSHUKURU DK. MIGIRO
"Nakushukuru Dr Asha Rose
Migiro kwa kuja kutembelea Shule yetu ya WAMANAKAYAMA na kututia moyo na kuunga
mkono juhudi zetu za kuwahudumia waTanzania.
Vijana wa Kike kutoka kote Tanzania walioko
ndani ya Shule yetu hii pia wamefarijika kufanya mazungumzo na
wewe.
Karibu tena
WAMANAKAYAMA." - MAMA KIKWETE
No comments:
Post a Comment