Pages

Pages

Friday, March 22, 2013

Kagasheki ahimiza mapambano ya majangili kwenye wizara yake

 Waziri wa Maliasili na Utalii, akizungumza wakati anafungua Mkutano wa 20 wa Baraza la Wafanyakazi ulioanza leo jijini Dar ea Salaa na kumalizika kesho. Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, wakati kushoto kwake ni  Katibu Mkuu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza hilo, Maimuna Tarishi. Kwenye mazungumzo yake, Kagasheki alitilia mkazo mapambano ya majangili kwenye Wizara yake ili kuhakikisha kuwa wanatokomeza kwa vitendo vitendo vya ujangili katika hifadhi za Taifa.

Wajumbe wakifuatilia kwa umakini Mkutano huo wa 20 wa Baraza la Wafanyakazi, ambapo aliyefungua ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki.

 Ofisa Habari wa Maliasili na Utalii,  Christina Mallya, akisikiliza kwa umakini uzinduzi wa Mkutano huo wa Baraza la Wafanyakazi leo.

Wajumbe wakifuatilia kwa umakini Mkutano huo wa 20 wa Baraza la Wafanyakazi, ambapo aliyefungua ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki.
 Ofisa Habari wa Maliasili na Utalii, Tulizo Kilaga, akipata msosi kabla ya ufunguzi wa Mkutano huo kama alivyokutwa na kamera ya Handeni Kwetu leo Makao Makuu ya Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam.
 Waandishi wa Habari, Rabia Bakari kutoka Gazeti la Uhuru na mdau mwenzake wa Utalii, Asha Bani wa Tanzania Daima, wakifuatilia kwa umakini ufunguzi wa Mkutano wa 20 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Maliasili na Utalii, uliofunguliwa na Waziri wake, Balozi Khamis Kagasheki leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment