Pages

Pages

Wednesday, March 20, 2013

Furahia picha za makamuzi ya Extra Bongo, wazee wa Kizigo



 Huyu jamaa licha ya kutamba sana jukwaani akiwa kama mcheza shoo wa Extra Bongo, lakini pia n i mkali mno katika ushikaji wa kipaza sauti kwenye kona ya Bongo Fleva. Anaitwa Isaac, aliwahi kutamba na kibao chake cha Acha Waseme. Kilikuwa babu kubwaaaa.

 Mkuruggenzi wa Extra Bongo, Ally Choki akiwa jukwaani kufanya vitu vyao. Hapana chezea wazee wa Kizigo wewee!
 Kazi mbeeele. Wazee wa Kizigo kama kawaida yao.
 Hapa jamaa wanafanya vitu vyao jukwaaani.


Isaac na Papy Catalogue wakishow love baada ya kushuka jukwaani katika makamuzi ya bendi yao ya Extra Bongo, maarufu kama Wazee wa Kizigo juzi katika Ukumbi wa Meeda, Sinza.

No comments:

Post a Comment