Pages

Pages

Friday, March 08, 2013

Bingwa wa Taifa, Japhet Kaseba asherehekea kuzaliwa kwa binti yake

 
Mtoto Zuzan Kaseba akimlisha keki mama yake Wema Kaseba wakati wa kushelekea sikukuu yake ya kuzaliwa iliyofanyika shuleni kwao ST Josephe juzi katikati ni baba yake mzazi Japhert Kaseba Bingwa wa Taifa wa mchezo wa masumbwi nchini.
Bingwa wa Taifa mchezo wa Masumbwi nchini, Japhert Kaseba Katikati   akilishwa keki na mwanae Suzan Kaseba wakati wa sherehe ya mtoto huyo kutimiza miaaka 11 iliyofanyika katika shule ya msingi ST. Josephe Dar es alaam juzi kulia ni mama yake mzazi Wema Kaseba nae akilishwa keki hiyo.
Bingwa wa ngumi za kulipwa uzito wa kati Japhert Kaseba kulia akiwa amemshika mtoto wake Suzan Kaseba wakati wa sherehe ya mtoto huyo kutimiza umri wa miaka 11 iliyofanyika shuleni kwao wengine ni mama yake mzazi Wema Kaseba pamoja na wanafunzi wanaosoma nao darasa moja katika shule ya msingi ST.Josepher.
BABA MWANA NA MTOTO KATIKA PICHA YA KUMBUKUMBU

Mtoto Zuzan Kaseba. Picha zote kwa hisani ya
www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment