Pages

Pages

Monday, March 04, 2013

Basi la Sumry lapinduka mkoani Mbeya likitokea Sumbawanga

Zaidi ya abiria 50 wa basi la Sumry lililokuwa linatoka Sumbawanga kwenda mkoani Mbeya, limepata ajali maeneo ya Songwe Mpakani mwa wilaya ya Mbozi leo. Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni roli la mizigo la Kampuni ya Kanjilaji ambalo lilikuwa linaipita gari lingine na kuhamia upande mwingine na kuleta ajali hiyo.












 MOJA YA MAJERUHI BENO GILBET MKAZI WA ZANZIBAR ALIKUWA ANATOKEA SUMBAWAGA KWENDA ZANZIBAR SASA AMELAZWA KATIKA HOSPITALI YA TEULE YA IFISI
MAJERUHI MUSA KAPINUKE
MAJERUHI CHALES KAUZENI  15
MUUGUZI ELMAT KAKAKU AMESEMA WAMEPOKEA MAJERUHI 47 KATI YA HAO WAWILI WAMEPELEWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA BAADA YA HALI ZAO KUWA MBAYA ZAIDI



Picha hizi ni kwa hisani ya Mbeya Yetu Blog                   

No comments:

Post a Comment