Pages

Pages

Saturday, March 16, 2013

Basi la Ndenjela laungua moto Kibaha mkoani Pwani

Basi la ndenjela likiwa linatoka dar kuelekea mbeya limeteketea kwa moto kibaha kongowe asubuhi ya leo. Abiria wote wamenusurika janga hilo, huku mizigo yote iliyokuwapo kwenye gari hilo ikiteketea kwa moto

No comments:

Post a Comment