Pages

Pages

Friday, February 22, 2013

Zitto Kabwe, aingizwa mtegoni kwa wizi wa mtandaoni?



 Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe.

AJIRA KWA WALIOJIUNGA NA AKIBA SACCOS BANK:
 
Je ni kweli kuna kitu kinaitwa Akiba Saccos Bank na sio Akiba Commercial Bank?

Maneno yanayofuata nimeyatoa kwenye akaunti ya facebook inayodaiwa eti ni ya Zitto Kabwe ikiwa na picha yake yenye kibagharashia.


"Nimepokea taarifa fupi toka kamati ya mikopo inayosimamiwa na chama cha Saccos ajira kupitia Asasi yao ya Akiba Saccos Bank inayoendeshwa online nimepewa fursa ya kuchagua vijana wa10 tu ambao wamekwisha wah kujiunga na Akiba Saccos Bank. 
Nafasi zilizotolewa ni Data Entry kuhifadh data katika Computer kwa ku2mia Ms. Excel na Ms word kama unajua computer na kutumia hizo program nafasi ndio hiyo kwa watu wa5 pia nafasi nyingne kwa watu wa5 ni Banners promotion kupitia mitandao yani unatakiwa ufanye matangazo kwa siku uhakikishe wanajiunga watu 5 na unalipwa kwa commission kila mtu mmoja akijiunga unapata elfu50.

Shukrani kwao Akiba Commercial Bank na Saccos!! Kama uliwah kujiunga na Akiba Saccos wah nafasi hizo tuwasiliane katika ukurasa wangu huu wa facebook nikupatie nafasi hiyo kwa udhamini uweze kuonana na wahusika!! Na kwa ambae anahitaji kujiunga na Akiba Saccos Bofya hapa" mwisho wa maandishi hayo kama ujumbe kwa Watanzania: www.akibasaccos.wapka.mobi
Maswali ya kujiuliza. Je ni kweli kuna Akiba Saccos Bank? Je, hawa Akiba wanafahamu kuwa wapo watu wanaotumia ovyo biashara zao?

Je, Zitto Kabwe anajua kuwa watu wanatumia vibaya jina lake kwa kuwahadaa wananchi wanaopenda kuishi au kusaidiwa kwa mikopo kama sehemu ya kuwainua kiuchumi?

Naambatanisha mlolongo mzima wa namna ya kujiunga na jinsi biashara hiyo ilivyowekwa katika mtandao kwa ajili ya kuelimisha kama watu hao wameingiza kwa ajili ya kuwatapeli watu.

Kwanini nasema hivyo? Mlolongo wake ni mwepesi mno. Na kwanini elfu 25,000  zinatakiwa kienyeji? Je, Tigo, Voda na Airtel wanajua kuwa nao wameingizwa mtegoni?

Sina lengo la kuharibia watu biashara, lakini kwa kuyasoma mawazo haya naamini tutajua wapi tunaelekea katika Dunia ya Utandawazi. 

Kama una lolote, tafadhali nijulishe kwa +255712053949, +255753806087 au email kambimbwana@yahoo.com

Hii ni hatua ya kwanza, tuangalie kwa kina na juhudi za kumpata Kabwe zinaendelea...


http://wfs-01.wapka.mobi/400328/400328333_8bdb9fd147.gif



CONTACTS DETAILS:
Email: info@akibacompany.co.tz
Tell: +255 884 6825 382


Microfinance in Tanzania began with NGOs Online Loans (Sevings and Credit Co-operative Society) Proudly Sponsored by National Microfinance Bank


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530324_eb8efc9cd9.jpghttp://akibasaccos.wapka.mobi/img/400328/400328582_16ebc954b8.jpghttp://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5636/5636955_10d13b03df.gif


UAMINIFU NDIO MSINGI IMARA KWA KILA MWANACHAMA NA KAMATI NZIMA YA SACCOS! ZINGATIA



AKIBA SACCOS BANK


http://wfs-01.wapka.mobi/400328/400328965_82f42cc7ea.gif
Akiba Saccos Bank ni Taasisi ya kifedha iliyoundwa na Akiba Commercial Bank kwa dhumuni / Lengo la utowaji mikopo nchini Tanzania. Akiba Saccos Bank ilianzishwa mwaka 2011 na kuzinduliwa rasmi mwaka 2013 ikiwa katika umiliki wa AKIBA COMPANY na AKIBA COMMERCIAL BANK

http://akibasaccos.wapka.mobi/img/400365/400365508_870074f2b4.jpg
Taasisi hii ya kifedha "AKIBA SACCOS BANK" inadhaminiwa na NMB BANK, CRDB BANK pamoja na kampuni za Simu zinazotoa huduma za kifedha TIGO TANZANIA, AIRTEL TANZANIA na VODACOM TANZANIA Kupitia huduma za upokeaji na utoaji pesa AIRTEL MONEY, TIGOPESA na M-PESA

http://akibasaccos.wapka.mobi/img/400365/400365507_80a0d974fe.jpgTaasisi ya AKIBA SACCOS BANK inajumla ya wanachama 320,000 tangu ilipoanzishwa ikiwa inafahamika katika huduma za kibenki pekee "AKIBA COMMERCIAL BANK".

AKIBA SACCOS BANK ina matawi 235 kupitia matawi zawa ya SACCOS LTD nchini Tanzania na wafanyakazi zaidi ya 2,500.

AKIBA SACCOS BANK inasaidia utoaji wa mikopo ya fedha na kurahisisha upokeaji wa mikopo ya fedha. Mikopo ya fedha inatolewa kwa:

- WANAFUNZI WA VYUO

- WAJASIRIAMALI

- WATUMISHI WA SERIKALI

- WAFANYAKAZI WA MAKAMPUNI BINAFSI YALIYO IDHINISHWA na AKIBA COMPANY NCHINI TANZANIA.
AKIBA SACCOS BANK ipo katika mikoa yote Tanzania Bara kupitia matawi ya SACCOS na inaendelea kukua zaidi kwa kuwa na wanachama wengi zaidi.

http://akibasaccos.wapka.mobi/img/400365/400365680_3da75225dd.jpg



FAIDA YA KUJIUNGA NA AKIBA SACCOS BANK


http://wfs-01.wapka.mobi/400333/400333853_edaeda5071.gif

Faida kubwa anayoipata mwanachama atakae jiunga na Akiba Saccos ni kupata mikopo nafuu, yenye sababu maalum, bila dhamana au amana, mikopo isiyokua na riba pia kwetu inafaida kwani lengo ni kuhakikisha kasi ya ukuaji wa uchumi na kujenga maendeleo ya mtu binafsi inaongezeka na kumkomboa kila mtanzania katika umasikini kwa kumuwezesha kimaisha.

http://akibasaccos.wapka.mobi/img/400365/400365506_e23c364f12.jpgFaida kubwa kwa kila mtanzania ambae atajiunga na kua mwanachama akishajaza fomu yetu ya kujiunga akakamilisha usaili wake atapatiwa fungu la zawadi ya Tshs. 50,000 (Elfu Hamsini) Bure kwa kila atakaejiunga!.



MISINGI MIKUU YA MIKOPO


Mikopo ya fedha itatolewa kwa mwanachama pekee wa Akiba Saccos Bank, atakaejiunga nakua mwanachama hai ndio atakaepatiwa mkopo wa pesa



SIFA ZA KUJIUNGA ILI UWE MWANACHAMA


Sifa kuu za wanachama tunaohitaji katika maombi ya kujiunga ili upatiwe mkopo nikama ifuatavyo:-


(a) UWE NI MTANZANIA

(b) UWE UMETIMIZA MIAKA 18 NA ZAIDI

(c) UWE NA AKILI TIMAMU

(d) UWE NA MOJA KATI YA VITAMBULISHO HIVI CHA KAZI, SEREKALI ZA MITAA, LESENI YA BIASHARA, KITAMBULISHO CHA CHUO, BANK au KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA na kiwe na namba ya utambulisho.

KAMA UNAZO SIFA HIZO UNARUHUSIWA KUJIUNGA NA TUTAKUPATIA MKOPO WA PESA.



VIWANGO VYA MIKOPO, AINA ZA MIKOPO NA MUDA WA MAREJESHO


1.1 MKOPO WA KIMAENDELEO
Mkopo wa kimaendeleo ni pamoja na Ujenzi wa nyumba, ununuzi wa samani (Fenicha), Ununuzi wa mashamba na Uchimbaji wa kisima, Mwanachama anaruhusiwa kukopa kuanzia laki tano (500,000) mpaka Million ishirini (20,000,000) mwisho na muda wa marejesho hauzidi miezi 39.
1.2 MKOPO WA BIASHARA
Mkopo wa biashara kama mtu anahitaji kufungua duka au kufungua mradi wowote kwa lengo la biashara kuingiza kipato kupitia uwekezaji anaruhusiwa kukopa kuanzia laki moja (100,000) hadi Million tano (5,000,000) na marejesho yake ni miezi 12 tu.
1.3 MKOPO MAALUM
Mkopo maalum ni mkopo ambao mwanachama ataomba kwa ajili ya kufanya jambo lake binafsi au la kiuchumi na kimaendeleo. Marejesho yake ni miezi 10.


1.4 MKOPO WA HUDUMA (ELIMU)
Mkopo huu unalenga zaidi wanafunzi na wazazi wanaosomesha watoto shule kwa ajili ya kuwalipia karo (Ada) ya shule mkopo huu hutolewa Mwezi wa Sita na Mwezi wa kumi nambili, kiwango cha kukopa ni kuanzia Laki moja (100,000) hadi Million tatu (3,000,000). Marejesho yake nikati ya miezi 6 hadi mwaka 1


1.5 MKOPO WA HUDUMA YA AFYA
Mkopo huu hutolewa kwa mtu ambae anamaradhi (Ugonjwa) mwanachama binafsi au ndugu katika familia yake kama anaumwa anaruhusiwa kukopa kiasi chochote cha fedha kisichozidi laki sita (600,000). Marejesho yake ni miezi 12



VIWANGO VYA MAREJESHO YA MKOPO


http://wfs-01.wapka.mobi/400333/400333879_55acf8cec4.gif
Marejesho ya mkopo yanalingana na aina ya mkopo na makadirio ya mwanachama kulingana na kiwango cha pesa alichokopeshwa imeidhinishwa katika ibara ya marejesho baada ya mwanachama kupokea pesa za mkopo atatakiwa akae miezi miwili bila kufanya marejesho kisha ataanza kulipia kila wiki kiasi chochote kile cha fedha atakachopata kuanzia Tshs. 60,000 (elfu sitini) na kuendelea kikubwa asipitishe muda wa miezi iliyopangwa kulingana na aina ya mkopo alio hitaji, kama mwanachama alipatiwa mkopo wa MAENDELEO atatakiwa marejesho yake yasivuke miezi 39 awe ameshamaliza kulipa deni, kama mkopo wake ni wa BIASHARA marejesho yasivuke miezi 12, kama ni mkopo MAALUM marejesho yake yasivuke miezi 10, kama ni mkopo wa HUDUMA (Elimu) marejesho yasivuke miezi 6 na kama mkopo wake ni wa HUDUMA YA AFYA marejesho yake yasivuke miezi 12.

http://akibasaccos.wapka.mobi/img/400365/400365774_5fd1655c19.jpgUtaratibu huu utamsaidia kila Mwanachama kuweza kumudu jukumu lake la marejesho kulingana na uwezo wake lakini kianzio cha kurejesha ni kuanzia shilingi elfu sitini na marejesho yote yatalipwa kila wiki kuanzia siku ya Ijumaa tatu mpaka Ijumaa.



UTARATIBU WA KUREJESHA MIKOPA


Mikopo yote ni lazima irejeshwe kupitia Mobile banking kulingana na huduma hii ya Online Bank, kila wiki mwanachama atatakiwa kurejesha deni lake kupitia akaunti yetu ya Tigopesa namba 0656 294 087 na M-Pesa namba 0766 343 693 na Airtel Money 0688 088 956 hizi ni namba za Ofisi maalum kwa malipo pekee zinatumika kwa ajili ya kufanya marejesho na malipo ya fomu pamoja na ada ya Uanachama unapojiunga. Hakikisha unapotaka kulipia ada au marejesho katika namba hizi linatokea jina la kampuni "AKIBA COMPANY" endapo kama litatokea jina tofauti usitume pesa!



UIDHINISHWAJI WA MIKOPO


1.1 Mikopo yote Sharti iidhinishwe na kamati ya mikopo na kuhakikiwa na Afisa Mikopo

1.2 Fomu za wanachama watakaojiunga na maombi yote ya mikopo yatapokelewa na kamati ya mikopo.
http://wfs-01.wapka.mobi/400333/400333853_edaeda5071.gif



JINSI YA KUJIUNGA ILI UWE MWANACHAMA NA UPATE MKOPO


Ili uwe mwanachama wa Akiba Saccos Bank na upate mikopo ya pesa unachotakiwa kwanza ni kujisajili kwa kujaza fomu yetu ya kujiunga katika orodha ya kitabu cha wanachama ili uwe mwanachama hai katika Chama hiki cha Akiba Saccos Bank.

http://akibasaccos.wapka.mobi/img/400365/400365820_becea42e67.jpg
Unachotakiwa kufanya ni kujaza fomu yetu iliyopo katika mtandao / tovuti hii ya kujiunga na Uanachama Fomu inapatikana hapo chini kuna Link (Kimvuli) takiona kimeandikwa "FOMU YA KUJIUNGA" Bofya katika hiyo Link iliyoandikwa FOMU YA KUJIUNGA itafunguka na ikishafunguka utaona mpangilio wa fomu wenye vipengele vya kujaza maombi yako ya kujiunga na mkopo kwa ujumla, jaza fomu yote usiruke kipengele hata kimoja ukisha maliza kuijaza fomu mwisho wa fomu utaona Link (bottom) imeandikwa TUMA FOMU, bofya katika hiyo link fomu yako itaingia katika Database yetu na tutaipokea na kuhifadhi data zako. 

Hatua ya pili baada ya kujaza fomu ya maombi ya Uanachama ili upate mkopo unachotakiwa ni kulipia Tshs. 25,000 (ELFU ISHIRINI NA TANO) ambayo itahusika na malipo ya fomu Tshs. 10,000 (elfu kumi) Pamoja na Ada ya mfuko wa Akiba ya Uanachama kama akiba yako Tshs. 15,000 (elfu kumi na tano) Jumla utakua melipia hiyo Tshs. 25,000 (ELFU ISHIRINI NA TANO). 

Kulipia kwako Tshs. 25,000 ni kwa dhumuni la kuchangia mfuko wa chama na kukuza chama cha Akiba Saccos Bank ili kiendelee kuwa hai nilazima kulipia ili uweze kukamilisha usaili wako uwe mwanachama hai katika maintanance System ili tukupatie Code namba yako ya Uanachama tuweze kukutambua kama mwanachama wetu ndio tuweze kukupatia mkopo wa fedha kiasi unachokihitaji. 

Baada ya kujaza fomu na kukamilisha malipo yako ya uanachama utapokea meseji kupitia namba yako ya simu utakayoijaza katika fomu yako. Meseji hiyo itakua na utambulisho wa Code namba yako ya Uanachama pia ndani ya muda mchache tutakutumia zawadi yako ya Uanachama kiasi cha Tshs. 50,000 (elfu hamsini) bure kupitia M-PESA, TIGOPESA au AIRTEL MONEY hakikisha katika fomu unajaza namba yako ya simu unayotumia ya ukweli na uwe umejiunga na huduma za mitandao kama Tigopesa, Mpesa au Airtel Money. 

Kumbuka baada ya kujaza fomu unatakiwa kuilipia fomu Tshs. 10,000 pamoja na Ada yako ya uanachama akiba ya Tshs. 15,000 jumla utatakiwa kulipia Tshs. 25,000 elfu ishirini na tano na utalipia kwa njia ya mobile banking kupitia Tigopesa katika namba yetu ya tigo 0656 294 087, M-Pesa katika namba yetu 0766 343 693 au Airtel Money katika namba 0688 088 956 hizi sio namba za mtu binafsi ni namba za ofisi unapotuma pesa hakikisha jina linalotokea ni jina la kampuni litatokea jina hili "AKIBA COMPANY" endapo kama litatokea jina tofauti usitume pesa.


Bofya katika hii Link ifuatayo iliyoandikwa "FOMU YA KUJIUNGA" utaikuta fomu ijaze yote

FOMU YA KUJIUNGA



MUDA WA KUPOKEA MKOPO BAADA YA KUJIUNGA


http://akibasaccos.wapka.mobi/img/400365/400365840_d615be77f7.jpgMara baada ya kujaza fomu na kulipia ada pamoja na fomu, utatumiwa code ya uanachama pamoja na pesa kama zawadi Tshs. 50,000 kisha mkopo wako wa fedha utatumwa ndani ya dakika 45 baada ya maombi yako kuidhinishwa! Ifahamike kua endapo kama utajaza fomu na utashindwa kukamilisha usaili wako kwa kulipia fomu na ada ya uanachama hatutahusika na fomu yako na hautopokea mkopo wa fedha toka kwetu! Angalizo namba za malipo zilizotolewa zimesajiliwa kwa jina la kampuni na sio za mtu binafsi hakikisha jina linalotokea ni AKIBA COMPANY.



AKIBA SACCOS BANK Powered by AKIBA COMPANY TANZANIA LIMITED and Sponsered Linked NSSF, SACCOS LTD, VIJANA FOUNDATION, CRDB & NMB BANK - Copyright (c) 2013


CONTACTS DETAIL: info@akibacompany.co.tz
 Hatua ya pili kama wanavyosema wenyewe..


http://wfs-01.wapka.mobi/400328/400328333_8bdb9fd147.gif
Secure Online Application Form / Loan Services
Top of Form


Andika Jina lako:


Andika namba yako ya siri herufi sita


Zirudie tena namba za siri herufi 6 kama ulizoandika hapo juu zifanane


TAARIFA BINAFSI ZA MWANACHAMA



http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgJina La Ukoo:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgJina La Kwanza:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgJinsia yako:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgMiaka:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgUraia:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgNamba yako ya simu:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgMahali Unapoishi MJI / KIJIJI / MKOA:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgWilaya:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgNamba ya kitambulisho chako:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgKazi yako:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgNamba ya simu ya mtu wako wa karibu:
MAELEZO YA UPOKEAJI WA MKOPO



http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgUnahitaji Mkopo wa Aina gani:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgUnahitaji ukopeshwe Shilingi ngapi:



http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgUnahitaji Tukutumie mkopo wako:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgAndika namba ya simu au Akaunti namba ya Bank mkopo wako utumwe:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgElezea kwa ufupi unachukua mkopo kwa lengo gani:


http://tanzanialoans.wapka.mobi/img/5530/5530323_752fa78a0d.jpgUmeridhika na fomu yetu, umekubali kupokea mkopo wetu, upo tayari kurejesha mkopo tutakao kupatia:



Bonyeza hapa chini katika link iliyoandikwa TUMA FOMU
http://i.wapka.mobi/pictures/union/3gspeed_in_2g_simcard_red.png
Bottom of Form
· 
Zitto Kabwe shared a link.
AJIRA KWA WALIOJIUNGA NA AKIBA SACCOS BANK:

Nimepokea taarifa fupi toka kamati ya mikopo inayosimamiwa na chama cha Saccos ajira kupitia Asasi yao ya Akiba Saccos Bank inayoendeshwa online nimepewa fursa ya kuchagua vijana wa10 tu ambao wamekwisha wah kujiunga na Akiba Saccos Bank. Nafasi zilizotolewa ni Data Entry kuhifadh data katika Computer kwa ku2mia Ms. Excel na Ms word kama unajua computer na kutumia hizo program nafasi ndio hiyo kwa watu wa5 pia nafasi nyingne kwa watu wa5 ni Banners promotion kupitia mitandao yani unatakiwa ufanye matangazo kwa siku uhakikishe wanajiunga watu 5 na unalipwa kwa commission kila mtu mmoja akijiunga unapata elfu50.

Shukrani kwao Akiba Commercial Bank na Saccos!! Kama uliwah kujiunga na Akiba Saccos wah nafasi hizo tuwasiliane katika ukurasa wangu huu wa facebook nikupatie nafasi hiyo kwa udhamini uweze kuonana na wahusika!! Na kwa ambae anahitaji kujiunga na Akiba Saccos Bofya hapa: www.akibasaccos.wapka.mobi

Je ni kweli? Tujiridhishe, ingawa kwa asilimia kubwa biashara hii sio ya kweli na kuna dalili kuwa wizi wa mtandao unazidi kushamiri kwa kutumia majina ya viongozi, Kampuni kubwa na huduma za kibenki.

No comments:

Post a Comment