Pages

Pages

Tuesday, February 26, 2013

Shavu la Vodacom mahela latua kwa wafanyabiashara ndogo ndogo

 Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingw(kulia) akiongea na Mshindi kwenye simu ya mezani wakati wa Droo  ya  kuwapata washindi wa shilingi Milioni 5 na Milioni moja  katika  Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na kampuni hiyo,ambapo wafanyabiashara ndogondogo wa Kagera na Dar es Salaam, Rashid Kagombora na Adam Ramadhan wamejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 5. Wanaoshuhudia kushoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo, Matina Nkurlu, Benjamin Michael, ambaye ni Maneja wa Huduma za Ziada na Afisa Mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania Bi.Chiku Salehe, Mteja anatakiwa kutuma neno"MAHELA"kwenda namba 15544 na kuweza kujishindia.Zaidi ya shilingi Milioni 400 zinaendelea kushindaniwa. Picha kwa Hisani ya Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment