Pages

Pages

Sunday, February 03, 2013

Shangwe za mapokezi ya Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete mjini Kigoma


Wananchi wa Kigoma wakimlaki Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotua uwanja wa ndege wa mji huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wananchi na wana CCM alipotua uwanja wa ndege wa mji huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.


Mama Salma Kikwete akisalimia wakati yeye na Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotua uwanja wa ndege wa mji huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.


Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mwandishi wa Radio Uhuru FM mara tu alipotua uwanja wa ndege wa mji huo mkongwe tayari kuongoza sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM zinazofikia kilele Jumapili Januari 3, 2013 mkoani humo.


Mama Salma Kikwete akisalimiana na Dkt Asha-Rose Migiro Ikulu Ndogo ya mjini Kigoma

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Mh. Issa Machibya(kushoto)akinadilishana mawazo na Mbunge Peter Serukamba

Baadhi ya Wabunge wa CCM

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Ndugu Muhammad Seif Khatib wakiongea na Wapiganaji waliotoka Dar es salaam hadi Kigoma kurekodi maadhimisho ya miaka 36 ya CCM


Viongozi mbalimbali wa chama na Serikali wakiwa tayari kabisa Kumpokea Rais Jakaya Kikwete


Katibu Mkuu wa CCM akiwa na viongozi wa vyama tawala vya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) na Burundi ambao wamealikwa katika sherehe hizo


Wapiganaji waliotoka Dar es salaam hadi Kigoma kurekodi maadhimisho ya miaka 36 ya CCM.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment