Pages

Pages

Tuesday, February 05, 2013

Maneno Osward, Japhet Kaseba watunishiana misuli

Bondia Maneno Osward kushoto akitunishiana msuli na Japhert Kaseba wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa  Dar es salaam leo utakaosimamiwa na PST Machi 2, katika Ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa.
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa Taifa, Pendo Njau katikati akiwanyoosha mikono juu mabonia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa.
Bondia Maneno Osward kushoto akitunishiana msuli  kwa usongo na Japhert Kaseba wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST Machi 2 katika Ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa.
Mabonia Bondia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba wakiwa wamepozi kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST Machi 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa.

Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa Taifa, Pendo Njau katikati akiwangalia mabondia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba wanavyotunishiana misuri Dar es salaam wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa. Picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment