Pages

Pages

Friday, February 01, 2013

Maadhimisho ya sherehe za CCM Zanzibar


Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shen, akipokea kikombe kutoka kwa Mwakilishi wa CCM Jimbo la Uzini Mohamed Raza Daramsi na Familia ya mwakilishi wa Jimbo la Bububu Husein Ibrahim Makungu (Bhaa) waliozamini mashindano yatakayoshirikisha timu za Mikoa 6 ya Zanzibar,katika kusherehehekea miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM, alipozindua Sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya Kuzaliwa kwa Chama hicho.


Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shen, akimkabi Vifaa vya Michezi Ali Yussuf Mussa wa Mkoa wa Kusini Unguja, vilivyotolewa na Mwakilishi wa CCM Jimbo la Uzini Mohamed Raza Daramsi na familia ya Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Husein Ibrahim Makungu (Bhaa) mashindano ya kusherehehekea miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM, kwa timu za Mikoa 6 ya Zanzibar, alipozindua Sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya Kuzaliwa kwa Chama hicho.

No comments:

Post a Comment