Pages

Pages

Saturday, February 16, 2013

Azam FC wakijifua tayari kuwavaa wapinzani wao Al Nasir

Wawakilishi wa Tanzania Bara, Azam FC leo watafungua Dimba na Al Nasir ya Sudan Kusini kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika,CAF. Michuano hii ilianza jana na inatarajiwa kuendelea leo na kesho katika viwanja mbalimbali barani.

Wachezaji wa Azam FC wakijifua jana jioni kwa mechi yao ya leo.

No comments:

Post a Comment