Bondia Charles Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Adam Ngange wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumb i wa CCM Tandale Dar es salaam jana Mashali alishinda kwa point Picha zote kwa hisani ya www.superedboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Adam Ngange kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Charles Mashali wakati wa mpambano wao uliofanyika kwa mala ya kwanza katika ukumbi wa CCM Tandale Dar es salaam jana. |
Bondia Athumani Pendeza kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kalama Nyilawila wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa CCM Tandele nyilawila alishinda kwa K,O raundi ya tatu. |
Bondia Kalama Nyilawila kushoto akipambana na Athumani Pendeza wakati wa mpambano uliofanyika katika ukumbi wa CCM Tandale Dar es salaam jana Nyilawila alishinda kwa K,o raundi ya tatu. |
Baazi ya wadau wa mchezo wa ngumi wakiwa na mabondia kutoka kushoto ni Kaike Silaju, Nassoro Choro,Selemani Kidunda, Thomas Mashali na Kibavu wakifatilia masumbwi |
Bondia Fadhili Majia kushoto akikwepa konde la Antoni Mathias wakati wa mpambano wao uliofanyika CCM Tandale Dar es salaam jana Majia alishinda kwa K,O raundi ya pili. |
Bondia Hassan Mandula kushoto akimlushia makonde James Martini wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Mandula alishinda kwa pointi. |
No comments:
Post a Comment