ASILI HAIPOTEI
TANZANIA yenye zaidi ya makabila 120, kila moja lina utamaduni wake.
Kutokana na hilo, unaweza kumuona mtu katika hali fulani, lakini
utamaduni wake, au mazoea yake yakakushangaza na kumuangalia mara mbili
mbili.
Kama alivyokutwa na MpigaPicha wa Handeni Kwetu, mkazi wa Sinza,
Jijini Dar es Salaam, Rehema Mbwana, akila mboga aina ya
hombo, katika kijiji cha Komsala, wilayani Handeni, mkoani Tanga na kuonyesha kuwa bado anapenda utamaduni wa kabila lake la Kizigua.
No comments:
Post a Comment