Pages

Pages

Wednesday, December 19, 2012

Wachezaji wa timu ya Zambia wakiwasili Tanzania

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zambia, Chipolopolo wakiwasili katika Uwanja wa Ndege jioni ya leo tayari kwa mchezo wao dhidi ya Taifa Stars, unaotarajiwa kupigwa Jumamosi, katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment