Pages

Pages

Tuesday, December 25, 2012

Picha za Birthday ya Jenifer Ullembo, mwandishi wa Mtanzania

Jana ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya Jeniffer Ullembo, mwandishi wa habari wa Gazeti la Mtanzania, wa pili kutoka kushoto. Anayeshuhudia kushoto kwake ni Mwandishi mwandamizi wa Gazeti hilo, Denis Luambano, wakati mwenye ngozi nyeupe na rasta kichwani ni Mhariri wa michezo wa Mtanzania na mwisho ni Bakari Kimwanga. Ilikuwa ni keki tamu kuliko zote. Hii ni kwa mujibu wa Hamisa Maganga, Mhariri wa Makala wa Mtanzania.
 Mhariri wa Makala Mtanzania, Hamisa Maganga
 Mkuu wa Kitengo cha Michezo, Dominic Isiji, akilishwa keki
 Mhariri Mkuu wa Mtanzania, Kulwa Karedia naye akila keki
 Mhariri wa Habari wa Mtanzania, Maregesi Paul, akila keki
 Mhariri Mtendaji Mkuu, Absalom Kibanda naye akila keki
 Mhariri wa Dimba, Said Salum kama kawa
Zaituni Kibwana, mwandishi wa Bingwa akiwakilisha keki. Handeni Kwetu inawatakia afya njema na wafanye kazi zao kwa ufanisi kwa ajili ya mustakabali wa Taifa letu.

No comments:

Post a Comment