Pages

Pages

Wednesday, December 12, 2012

Natoka kukata kuni



Mkazi wa kijiji cha Kwedikabu, wilayani Handeni mkoani Tanga, jina lake halikupatikana mara moja, akiwa na mzigo wake wa kuni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kama alivyokutwa na kamera ya Handeni Kwetu.

No comments:

Post a Comment