Pages

Pages

Monday, December 24, 2012

Shida ya maji Handeni

Wakazi wa Handeni Mjini wakinunua maji katika gari kwa bei ya shilingi 600 hadi 700 kwa ndoo moja ya lita 20 kutokana na shida ya maji inayousumbua mji huo kwa muda mrefu.

Wakazi wote wa Handeni wenye vipato vya chini wanaishi kwa mtindo huu. Wadau ambao ni serikali pamoja na wananchi kwa ujumla wanatakiwa waliangalie suala hili kwa mapana. Picha hii ilinaswa katika moja ya mitaa ya Handeni.

No comments:

Post a Comment