Pages

Pages

Monday, December 17, 2012

Maisha miangaiko

Wafanyabiashara ndogo ndogo wa Chalinze, mkoani Pwani wakichangamkia kuwauzia abiria wa mabasi yanayokwenda mikoani, kama walivyokutwa na kamera ya Handeni Kwetu jana.

Vijana hao wamekuwa wakifanya biashara hiyo na kuhatarisha usalama wao, hasa pale wanapoamua kukimbiza magari kwa ajili ya kunadi bidhaa zao kama wanavyoonekana pichani.

No comments:

Post a Comment