Pages

Pages

Tuesday, December 18, 2012

Handeni mjini mabomba yapo maji hayatoki

Licha ya mabomba kuwekwa kama yanavyoonekana Handeni mjini, mkoani Tanga, ila yameshindwa kutoa maji kwa miaka mingi sasa na kuwakera wananchi na wakazi wa eneo hilo. Kwa mujibu wa watu wanaoishi katika mji huo, mabomba hayo hayatoi maji na kuwafanya waishi kwa tabu. Picha na Kambi Mbwana.

No comments:

Post a Comment