Tigo Tanzania yatoa msaada wa madawati 335 Singida
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew
Mtigumwe akinyanyua mikono juu na mkurugenzi wa Tigo kanda kaskazini, George
Lugata na Meneja wa kandakaskaziniTigo, Aidan Komba.
Mkuu wa Mkoa wa Singida,
Mhandisi Mathew Mtigumwe akipokea msaada wa madawati 335 yenye thamani ya milioni
56, toka kwa Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini, George Lugata kwenye makabidhiano
yaliyofanyika katika viwanja vya mkuu wa mkoa leo.
Mkuu
wa Mkoa wa Singida, Mhandisi Mathew Mtigumwe akiwa ameketi kwenye dawati mara baada ya kukabidhiwa madawati
335 yenye thamani ya milioni 56, kulia ni mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini, George
Lugata na mwanafunzi wa shule ya msingi Minga,AliSaidi.
No comments:
Post a Comment