Pages

Pages

Tuesday, June 14, 2016

PPF wakabidhi vyeti vya wafanyakazi bora

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Ramadhani  Khijjah, akizungumza na baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko huo wakati wa zoezi la kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha Mikutano Dar es Salaam, (DCC).  Tukio hilo lilifanyika wakati wa Kikao cha Baraza la wafanyakazi. Picha na Mafoto Blog

Akizungumza baada ya kukabidhi Vyeti hivyo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Ndugu Khijjah, aliwapongeza Wafanyakazi bora wa 2015/16 wa Mfuko huo kwa niaba ya Bodi ya Wadhamini na kuwataka Wafanyakazi wote wa PPF kufanya kazi kwa bidii bila kurudi nyuma  ili kuendelea kutimiza malengo.
Katika Kikao hicho jumla ya Wafanyakazi 22,  kutoka Kurugenzi na Idara mbalimbali walikabidhiwa vyeti vya Wafanyakazi Bora na Mwenyekiti huyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa William Erio, akizungumza na kumkaribisha mgeni rasmi wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16, iliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano Dar es Salaam, (DCC)  jijini, leo Juni 14, 2016.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Julius Mganga, akizungumza wakati wa Kikao  hicho.
Baadhi ya Wakurugenzi na Wafanyakazi wa Mfuko huo wakimsikiliza mgeni rasmi wakati akihutubia katika Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kutoa Vyeti kwa wafanyakazi bora wa mwaka 2015/16.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa hafla ya utoaji Vyeti kwa Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha Mikutano cha Dar es Salaam (DCC).
Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na utoaji Vyeti kwa wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha Mikutano cha Dar es Salaam (DCC).
Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakimsikiliza mgeni rasmi wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na Vyeti kwa Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha Mikutano cha Dar es Salaam (DCC).
 Wafanyakazi bora wakisubiri kupokea Vyeti vyao
  Wafanyakazi bora wakisubiri kupokea Vyeti vyao
  Wafanyakazi bora wakisubiri kupokea Vyeti vyao
  Wafanyakazi bora wakisubiri kupokea Vyeti vyao. Kulia ni Meneja Rasilimali Watu Adolar Duwe
Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti mfanyakazi bora wa Kurugenzi ya Uendeshaji, Mary Myamba, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti kwa Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC). Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio. KUSOMA ZAIDI BOFYA READ MORE
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti mshindi wa Kanda ya Mashariki na Kati katika Kurugenzi ya Uendeshaji, David Ngamesha, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC). Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa Kanda ya Ziwa katika Kurugenzi ya Uendeshaji, Evarist Ikwalala, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini katika Kurugenzi ya Uendeshaji, Godwin A. Godwin, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa Kanda ya Kusini katika Kurugenzi ya Uendeshaji, Shida Michael, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa Kanda ya Kaskazini katika Kurugenzi ya Uendeshaji, Emmanuel Tarimo, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa Kanda ya Ilala katika Kurugenzi ya Uendeshaji, Godlisten Gilliard, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa Kanda ya Kinondoni katika Kurugenzi ya Uendeshaji, Phillipo Kimario, wakati wa Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa Kanda ya Temeke katika Kurugenzi ya Uendeshaji, Sosthenes Lyimo, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa pili katika Kurugenzi ya Uhasibu, Witness Patrick, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi ya Uhasibu, Agness Ndesingo, wakati wa Kikaoc cha Barazala Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi ya Uwekezaji, Agustine Paul, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi ya Huduma za Sheria, Enelia Majo, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi ya Ukaguzi wa Ndani, Omar Katundu, aliyepokea kwa niaba ya Kalege Enock, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu, Julie Mtambo, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa pili katika Kurugenzi ya Mifumo ya Habari, Goodluck Msangi, aliyepokea kwa niaba ya Idd Hamis, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi ya Mifumo ya Habari, Baraka Mselemu, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa mshindi wa pili katika Kurugenzi ya Rasilimali Watu na Utawala, Anthony Mkinga, wakati wa Kikao cha Barza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi ya Rasilimali Watu na Utawala, Jacob Msigwa, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora katika Kurugenzi ya Menejimenti ya Majanga, Diana Kimaro, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Mgeni rasmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni PPF,  Ramadhani Khijjah, akimkabidhi Cheti kwa Mfanyakazi Bora wa Mfuko kwa mwaka 2015/16, Omar Katundu, aliyepokea kwa niaba ya Kalege Enock, wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi na kukabidhi Vyeti vya Wafanyakazi bora wa Mfuko huo wa mwaka 2015/16 iliyofanyika leo Juni 14, 2016 kwenye Kituo cha mikutano cha Dar es Salaam (DCC) Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio.
 Baadhi ya wafanyakazi wakipongezana baada ya kupokea Vyeti vyao.
 Baadhi ya wafanyakazi wakipongezana baada ya kupokea tuzo hizo.
 Viongozi wa Mfuko huo wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi bora wa mwaka 2015/16.
 Picha ya pamoja Viongozi, Wakurugenzi na Wafanyakazi bora.
Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment