Pages

Pages

Thursday, February 25, 2016

Benki ya Amana yazindua tawi lake Mbagala

 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Tawi jipya la Benki ya Amana, wakati alipokuwa akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuzindua Tawi hilo lililofunguliwa leo Feb 25, 2016 Mbagala Zakiem jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Benki hiyo, Dkt. Muhsin Salim Masoud (kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Abdallah Al- Nahdi. Picha na Sufianimafoto Blog
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, akisoma hotuba yake ya uzinduzi wa Tawi jipya la Benki ya Amana lililofunguliwa Mbagala Zakiem jijini Dar es Salaam, ambapo Mhe. Kijaji alimwakilisha Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwenye uzinduzi huo.

 Mkurugenzi wa Benki Amana, Dkt. Muhsin Salim Masoud, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, kuzindua Tawi hilo kwa niaba ya Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.
 Mwendesha shughuli MC, Saleh, akiongoza hafla hiyo ya uzinduzi....
 Ustaadh, akiomba dua ya ufunguzi wa shughuli hiyo.....
 Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, akifunua kitambaa kama ishara ya kuweka Jiwe la msingi katika Jengo la Benki ya Amana, wakati alipokuwa akimwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuzindua Tawi jipya la Benki hiyo lililofunguliwa Mbagala Zakiem jijini Dar es Salaam, leo Feb 25, 2016. Kulia ni Mbunge wa Viti maalumu CCM, Mariam Kisangi (kulia kwa Waziri) ni Mkurugenzi wa Amana Benki, Dkt. Muhsin Salim Masoud (na wa pili kulia) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Abdallah Al-Nahdi.
 Baadhi ya wadau na wananchi waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi wakimsikiliza Mhe. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashantu Kijaji, wakati akihutubia katika uzinduzi huo, leo.

 Mkurugenzi wa Benki hiyo, Dkt. Muhsin Salim Masoud, akihitimisha shughuli hiyo.
Ustaadh akisoma dua ya kufunga shughuli hiyo baada ya uzinduzi.

No comments:

Post a Comment