Promota Juma Msangi kushoto akiwa na Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' na Meneja msaidizi wa bondia Faransic Cheka wakitambulisha mpambano wa bondia Cheka wa Tanzania, dhidi ya Muingereza, Ajetovic, mbele ya waandishi wa habari mpambano utakaofanyika februari 27 katika Uwanja wa Leaders Club, jijini Dar es Salaam. Picha zote na SUPER D. |
Pages
▼
Pages
▼
No comments:
Post a Comment