Pages

Pages

Thursday, November 05, 2015

Sherehe za kuapishwa Dr John Magufuli zafana, aanza kazi rasmi ya kuwatumikia Watanzania, ona picha tano kali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Tano, Dr John Pombe Magufuli, aliyesimama kushoto, akipewa hati ya kiapo chake jijini Dar es Salaam katika sherehe zilizofanyika leo na kuhitimisha rasmi utumishi wa Dr Jakaya Mrisho Kikwete, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Magufuli, akiapa.

 Dr Magufuli anasaini hati yake.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiapa tayari kuwatumikia Watanzania.
Hapa Dr John Magufuli akikagua gwaride saa chache baada ya kuapishwa. Picha na Mpiga Picha Wetu.

No comments:

Post a Comment