Pages

Pages

Tuesday, July 07, 2015

Bonanza la kukuza vipaji Kikwajuni, mchezaji bora kupewa ofa ya kusomeshwa kompyuta

Viongozi wa meza kuu wakifuatiliac mchezo huo kati ya Mwembeladu na Kisimajongoo katika Bonanza la kukuza vipaji kwa Vijana lililodhaminiwa na Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Masauni na kutoa ofa kwa mchezaji bora kupata fursa ya kusoma kozi ya kompyuta katika kituo cha Vija cha TAYI  

               Mchezaji wa timu ya Muembeladu akimpita mchezaji wa timu ya Kisimajongoo.timu ya Muembeladu imeshinda mabao 4-1


       Mchezaji aliyeibuka mchezaji Bora Amour Janja akiwapita wachezaji wa timu ya Kisimajongoo.






                 Mchezaji wa timu ya Muembeladu akiwa na mpira baada hya kuifungia timu yake.
Mchezaji wa timu ya Muembeladu akiweka majaro golini kwa timu ya Kisonajongoo. timu ya Muembeladu imeshinda 4-- 1 
Mchezaji wa timu ya Muembeladu Amour Janja akijiandaa kuifungia timu yake wakati wa michezo ya Bonaza Masauni Cup, mchezaji huo ameibuka mchezaji Bora wa mchezo huo kwa kufunga mabao manne.  
Waku za Majukumu Wazima Wote ndio furaha yetu wana Familia TBN
Mchezaji wa timu ya Muembeladu akijiandaa kuzuiya mpira huku mchezaji wa timu ya Kisimajongoo akijiandaa kumzuiya. 

Katibu wa Kikwajuni SACCOS Ndg Mussa Haji Mussa akimkabidhi fedha Mchezaji Bora wa Mchezo huo wa Bonaza Amour Janja baada ya kutoka kidedea kwa kuifungia timu yake ya Muembeladu mabao 4 dhidi ya timu ya Kisimajongoo katika michezo wa Bonaza inayofanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja.  

No comments:

Post a Comment