Zambia na Tanzania zaingia makubaliano ya kurahisisha uchukuzi wa mizigo na abiria
Waziri wa Fedha wa Tanzania, Bi Saada Mkuya, na
Waziri wa Uchukuzi, Ujenzi na Mawasiliano wa Zambia, Yamfwa Mukanga wakisaini
hati ya makubaliano ya kurahisisha uchukuzi wa mizigo na abiria katika nchi
hizo mbili, , leo mchana katika ukumbi wa St Gasper mjini Dodoma huku
wakishuhudiwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha Tanzania, Adam Malima( wa
kwanza kulia waliokaa), Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Servacius
Likwelile (wa tatu kutoka kulia waliosimama), Katibu Mkuu wa Wizara ya
Uchukuzi, Dkt. Shaaban Mwinjaka (wa pili kutoka kulia waliosimama) na wataalam
kutoka Tanzania na Zambia.
No comments:
Post a Comment