Pages

Pages

Wednesday, May 27, 2015

Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya aenda kumuaga Makamu wa Rais Dkt Bilal

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya, John Michael Haule, wakati Balozi huyo alipofika Osifini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuaga leo Mei 27 2015. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment