Pages

Pages

Wednesday, January 22, 2014

Maandalizi ya ligi kuu yapamba moto, kila kitu hadharani

Msemaji wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Boniface Wambura, kushoto akizungumza na waandishi wa habari juu ya maandalizi ya michuano ya Ligi ya Tanzania Bara, itakayoanza hatua ya mzunguuko wa pili Jumamosi ya Januari 25 katika viwanja mbalimbali nchini. Picha na Jumanne Juma.

No comments:

Post a Comment