Pages

Pages

Friday, December 06, 2013

Makamu wa Rais Dkt Bilal akabidhi tuzo za muajiri bora


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo za Muajiri bora wa mwaka 2013, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinsky, jijini Dar es Salaam, jana usiku. Pich na OMR

No comments:

Post a Comment