Pages

Pages

Monday, November 11, 2013

Mama Salma Kikwete afungua warsha ya viongozi wa familia za kimasai

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akifungua rasmi warsha ya siku moja ya viongozi wa kimila wa jamii ya wafugaji kuhusu afya ya uzazi na kuzuia maambukizi ya ukimwi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere hapa Dar tarehe 9.11.2013.

No comments:

Post a Comment