Pages

Pages

Monday, October 07, 2013

Balozi wa Marekani amaliza muda wake kufanya kuiwakilisha nchi yake Tanzania


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha na Balozi  wa Marekani nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Alfonso  Lenhardt  na mke wake  leo walipofika Ikulu kuaga na kumshukuru Rais na serikali yake kwa ushirikiano alioupata katika kipindi chake cha ubalozi hapa nchini.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuaga mke wa Balozi  wa Marekani nchini Tanzania aliyemaliza muda wake Mhe Alfonso  Lenhardt  leo walipofika Ikulu kuaga na kumshukuru Rais na serikali yake kwa ushirikiano alioupata katika kipindi chake cha ubalozi hapa nchini. Mama Salma Kikwete alikuwepo pia katika kuwaaga wanadiplomasia hawa.

No comments:

Post a Comment