Pages

Pages

Sunday, September 08, 2013

Tumia vidole vyako kujenga amani na sio chuki

Ukipokea ujumbe wenye matusi, chuki au uongo kwa njia yoyote ile, tafadhali futa na kisha u-delete kabisa. Hii ni kuonyesha kuwa Watanzania wote tumedhamiria kuwa jamii moja yenye kuishi kwa upendo na unyenyekevu bila kuangalia cheo, dini au ukabila.
Futa, delete kabisa.
Tunahitaji kuwa na Taifa bora zaidi. Hatuhitaji kuyumbishwa wala kugombanishwa. Hivyo kila mmoja wetu lazima ajuwe umuhimu huu wa kampeni iliyoanzishwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ili kuijenga jamii bora kabisa.

FUTA DELETE KABISA.

No comments:

Post a Comment