Pages

Pages

Wednesday, September 18, 2013

Timu ya Simba yashinda bao 6-0 dhidi ya Wagosi JKT Mgambo


  Golikipa wa Mgambo JKT, Kulwa Manzi akiwa chini baada ya kupishana na mpira uliopigwa na mshambuliaji wa Simba, Amisi Tambwe (kulia) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 6-0.
Washambuliaji wa simba, Amisi Tambwe (kulia), na Betram Mombeki wakishangilia ushindi wa timu yao. 
 Haruna Chanongo akimtoka kiungo wa timu ya Mgambo JKT, Salum kipaga. 

 Mashabiki wa Simba. Picha zote na Rachel Pallangyo.

No comments:

Post a Comment