Pages

Pages

Thursday, August 22, 2013

Mdau Yusuphed Mhandeni aendelea vizuri baada ya kupata ajali ya gari



MDAU wa muziki na Mchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Makumbusho, Yusuphed Mhandeni, anaendelea vizuri baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari maeneo ya Posta, jijini Dar es Salaam juzi.
Yusuphed Mhandeni, pichani
Kwa sasa mdau huyo mkubwa wa muziki wa dansi hapa nchini anaendelea na matibabu yake nyumbani kwake, huku watu mbalimbali wakienda kumjulia hali.

Mhandeni alipata ajali ya kugogwa na gari mguuni, ingawa hajaumia sana kutokana na tukio hilo.

No comments:

Post a Comment