Pages

Pages

Thursday, July 25, 2013

Rais Kikwete aahidi kuwatunza vizuri mashujaa wetu Tanzania

IMG_0286

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akishikana Mkono na Askari wa Jeshi la Magereza mwenye Cheo cha Stafu Sajini ambaye alipigana Vita vya Kagera Mwaka 1978 hadi 1979. Sherehe hizo zimefanyika leo katika Kambi ya Jeshi ya Kaboya, Mkoani Kagera. Katika sherehe hizo, Rais Kikwete aliahidi kuwatunza vizuri mashujaa kwa kushirikiana na viongozi wa jeshi la Tanzania.

No comments:

Post a Comment