Bondia Juma Fundi kushoto akitunishiana misuri
na Nasibu Ramadhani wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika sikukuu
ya Idi pili wengine kushoto ni mratibu Duni Lianjara Promota wa Mpambano huo
Side Mkigoma na kocha wa Nasibu Christpher Mzazi.
|
No comments:
Post a Comment