Pages

Pages

Tuesday, May 21, 2013

Siku Dogo Sinyo alipouaga ukapera kwa kufunga ndoa na Bi Clara

 Siku ya ndoa ya Dogo Sinyo, akiwa na mke wake, Bi Clara, kulia.

Hapa Dogo Sinyo akiwa kwenye tafakuri katika kuwajibika kiaina ofisini kwake

 Dogo Sinyo kulia akiwa mwenye furaha siku ya ndoa yake.



Mfanyakazi wa Kampuni ya Business Times Ltd (BTL), Dogo Sinyo (katikati), akiwa na wafanyakazi wenzake. Shaban Mbegu na Charles Mateso, siku ya ndoa yake.

No comments:

Post a Comment