Pages

Pages

Monday, May 20, 2013

Pitia picha mbalimbali za kivumbi cha mechi ya mabondia na Taswa FC


Bonia Daudi Muhuzi akishindana na Mbuyu wa timu ya TASWA FC Majuto Omari wakati wa mpambano wao
Kocha wa kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D' akisisitiza jambo wakati wa mapumziko.
Mchezaji wa timu ya Taswa akipambana na bondia kuwania mpira

SUPER D BOXING COACH AKISISITIZA JAMBO WAKATI WA MAPUMZIKO WA MCHEZO HUO

No comments:

Post a Comment